Athari ya Makombora ya Iran ni kubwa mno, na Israel haikupiga mahesabu yake vizuri kabla ya kuamua kuanzisha uchokozi wake wa kucheza na moto wa kivita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Hivi sasa Wazayuni wanavuna kile mikono yao imepanda.
Video | Athari ya Kombora la Iran Siku ya jana jinsi lilivyolisambaratisha jengo ndani ya Mji wa Tel-Aviv
20 Juni 2025 - 02:16
News ID: 1699781
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-Jana Siku ya Alhamisi (19-06-2025) mida ya Asubuhi - Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lilifanya mashambulizi Makali ya Makombora kuelekea Ardhi za Palestina zinazokaliwa kimabavu na Utawala wa Kizayuni. Video hii inaonyesha Athari kadhaa za kombora la Iran baada ya kulitwanga jengo moja katika Mji wa Tel-Aviv na kulisambaratisha.
Your Comment